Video Wahouthi warusha kombora la ‘Balistic’ nchini Israel, Trump aionya Iran Alhamisi, Machi 20, 2025
Leo wa XIV ndiye Papa mpya wa Kanisa Katoliki Kardinali Robert Prevost (69) kutoka Marekani amechaguliwa kuwa Papa mpya wa 267, ambapo amechagua kutumia jina kwenye wadhifa huo la Papa Leo wa XIV.
Bunge lagomea utaratibu ajira JWTZ, Spika Tulia atoa maagizo Tangazo la nafasi za ajira kwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limezua mvutano bungeni ikitajwa kuwa chombo hicho kimekiuka maagizo ya Bunge kwa kuweka kigezo cha waombaji kupitia...
PRIME Vigogo Chadema kutua Chaumma Hata hivyo, baadhi ya wanasiasa na wachambuzi wanaona Chadema itatetereka kwa kiasi fulani hata kama haitashiriki uchaguzi, kwa kuwa makada hao ndio walikuwa kama injini kwenye uongozi wa Mbowe.