Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekuwa miongoni mwa Watanzania waliohesabiwa katika Sensa ya Watu na Makazi iliyoanza saa 6:01 usiku wa leo Jumanne, Agosti 23, 2022.