CCM yapangua ratiba uchukuaji fomu ubunge, uwakilishi na udiwani Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza mabadiliko ya ratiba ya uchukuaji na urejeshaji wa fomu za kuomba kuwania udiwani, uwakilishi na ubunge katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025.
Mchengerwa ataja vipaumbele sita maboresho Dart Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (Dart), katika mwaka wa fedha 2025/26, unatarajiwa kukamilisha ununuzi wa mtoa huduma kwa njia ya ubia kati ya sekta ya umma na binafsi katika awamu...
PRIME Ukiziona ishara hizi kapime, ni dalili za magonjwa ya ngono Mtaalamu wa Afya ya Jamii, Dk Ali Mzige anasema kuna dalili kadhaa zinazoashiria mtu amepata au anaishi na maambukizi ya ugonjwa mmojawapo wa ngono.