PRIME Mtifuano mpya Ma-RC waongeza joto majimboni Unakumbuka Machi 11, 2025, Rais Samia Suluhu Hassan alipoagiza wateule wake, wakiwemo wakuu wa mikoa wenye nia ya kugombea nafasi mbalimbali, kutoa taarifa mapema, ili nafasi zao ziweze kujazwa...
Muuguzi Mount Meru asimamishwa sakata la ‘mgonjwa’ kubadilishiwa mtoto Sakata la mkazi wa Daraja Mbili, jijini Arusha Neema Kilugala aliyedai kubadilishiwa mtoto katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha, Mount Meru, limechukua sura mpya baada ya Wizara ya Afya...
PRIME Hatima watia nia ubunge, udiwani Chadema kueleweka kesho Msimamo wa ama kuendelea kugombea au kuweka rehani ndoto za kuwania ubunge katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba, mwaka huu kwa makada wa Chadema, utajulikana kesho Alhamisi Aprili 3, 2025.