Mtangazaji Mbotela wa ‘Huu ni Uungwana?’ afariki dunia Mwandishi wa Habari Mwandamizi na mtangazaji wa Kenya, Leonard Mambo Mbotela, amefariki dunia kwa maradhi yaliyokuwa yakimsumbua, tovuti ya Kenyans.co.ke imeripoti.
PRIME Hiki ndicho chanzo wasichana wengi kuvunja ungo mapema Matukio ya wasichana wenye umri mdogo kupevuka (kuvunja ungo) ni ya kawaida katika miaka ya hivi karibuni.
Ahukumiwa miaka minne kwa mauaji ugomvi wa choo Mahakama Kuu Masijala Ndogo ya Bukoba imemhukumu adhabu ya kifungo cha miaka minne jela, Jacob Alphonce baada ya kumkuta na hatia ya kosa la mauaji bila kukusudia.