Dereva anayedaiwa kusababisha kifo cha OCD Chico akamatwa Mbalizi Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limemkamata dereva wa daladala anayedaiwa kusababisha ajali iliyomuua Mkuu wa Polisi Wilaya ya Kipolisi Chanika (OCD), Awadh Chico, na kumjeruhi...
Viongozi wajitokeza mazishi ya Balozi Mwapachu Tanga Shughuli za mazishi ya Katibu Mkuu wa zamani wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Balozi Juma Mwapachu, zimeanza nyumbani kwa baba yake, maeneo ya Chumbageni jijini Tanga, huku viongozi mbalimbali...
PRIME Makosa haya yanavyobomoa ndoa Miongoni mwa makosa yanayofanywa na wenza kwenye ndoa, ni kutumia muda wanaopaswa kuwa pamoja kwa mambo mengine ya binafsi.