PRIME Mrema aihoji Chadema maswali matano kupigwa kigogo wa Bawacha Sigrada anadaiwa kupigwa Machi 25, 2025 na mmoja wa walinzi wa Chadema kwenye kikao cha ndani kilichoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Bara, John Heche.
Chadema yachunguza tukio la kigogo wake kupigwa, yamuonya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kinafuatilia kwa karibu tuhuma zinazosambazwa mitandaoni juu ya kupigwa kwa Mratibu wa Uenezi wa Baraza la Wanawake wa Chama (Bawacha)...
Madaktari wa kike hatarini kujiua Leo Machi 30 dunia ikiadhimisha siku ya madaktari duniani, Ripoti mpya inaonyesha madaktari wa kike wana uwezekano wa asilimia 76 zaidi ya kufariki dunia kwa kujiua ikilinganishwa na wanawake...