Mwili wa Mafuru kuwasili Tanzania Jumanne, kuzikwa Dar Ijumaa
Mwili wa aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, Lawrence Mafuru unatarajiwa kuzikwa Ijumaa, Novemba 15, 2024 katika makaburi ya Kondo yaliyopo Tegeta, jijini Dar es Salaam baada ya...