Video Bashungwa: Tozo zimejenga vituo vya afya 234 Alhamisi, Septemba 01, 2022 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Innocent Bashungwa amesema Serikali imejenga vituo vya afya 234 kutokana na fedha za tozo ya miamala ya simu ndani ya mwaka mmoja tangu kuanzishwa kwake.
PRIME Samia: Tunataka amani na utulivu Rais Samia Suluhu Hassan amesema sifa njema kuhusu utulivu na amani iliyopo Tanzania iendelezwe katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.
PRIME Mama asimulia mwanaye aliyeuawa kwa kipigo… “Mama nimepigwa sana… mama nisaidie, sijaleta vitu, nimekuja mama yangu unisaidie, nakufa nisaidie.”
Malima azionya asasi, mashirika ya kiraia kuelekea uchaguzi mkuu Katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima amezitaka taasisi zisizo za kiserikali (NGO) kutoshirikiana na wanaharakati wa kisiasa wenye nia ya kuvuruga...