Polisi watanda Kisutu, waandishi wa habari wazuiwa Katika eneo hilo la Mahakama, polisi waliovaa sare na wasio na sare wapo ndani ya magari wakifanya doria huku wakiwa wameshikilia silaha mbalimbali zikiwamo bunduki na virungu.
PRIME Mambo matano ziara Dk Nchimbi Mara Siku sita za ziara ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi mkoani Mara, zimetosha kwa chama hicho kujitenga na kauli hatari dhidi ya upinzani, kuziweka mtegoni wizara...
Haya hapa majina waliopita usaili TRA Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetangaza majina ya watu waliopita katika usaili wa kuandika na hivyo kuitwa kwa ajili ya kufanya usaili wa mazungumzo. Soma majina hayo hapa TRA imetangaza...