PRIME Mpasuko Chadema, G55 waliamsha Wanamtandao wa G55 waweka hadharani machungu wanayopitia Chadema. Waonya makada kukimbilia vyama vingine, ‘No reforms, no election’ kaa la moto.
PRIME Kauli ya atabadilika inavyowaponza wanandoa Baadhi ya watu wanapoingia katika uhusiano, huamini wanaweza kubadili zile tabia hasi ambazo wamezikuta kwa wenza wao.
PRIME Samia atua zigo nafasi ya Jaji Mkuu Rais Samia Suluhu Hassan, amesema hana dhamira ya kugombana na majaji, hivyo amedhamiria kumuacha Jaji Mkuu, Profesa Ibrahim Juma aliyebakiza miezi michache, aende kupumzika.