Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi pamoja na wageni mbalimbali kabla ya kufunga mafunzo ya maofisa na wakaguzi wasaidizi wa Jeshi la Polisi Tanzania katika sherehe zilizofanyika katika Chuo cha Taaluma ya Polisi kilichopo Kurasini Jijini Dar es Salaam.