Rais wa Ujerumani, Frank-Walter Steinmeier akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Ikulu ya Dar es Salaam leo Oktoba 31, 2023. Pembeni yake ni Rais Tanzania, Samia Suluhu Hassan.
Photo: 1/3
Rais wa Ujerumani, Frank-Walter Steinmeier akiongoza ujumbe wa nchi yake kwenye mazungumzo rasmi na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan aliyeongoza ujumbe wa Tanzania Ikulu jijini Dar es Salaam Oktoba 31, 2023.