Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye ufunguzi wa kikao kazi kwa wenyeviti wa bodi na watendaji wakuu wa Taasisi za Umma kilichoandaliwa na Ofisi ya Msajili wa Hazina kwa kushirikiana na Jukwaa la Wakuu wa Taasisi za Umma kilichofanyika katika kituo cha mikutano cha Kimataifa AICC Jijini Arusha Agosti, 19, 2023.