Picha Rais Samia akabidhiwa ripoti ya Takukuru na CAG Jumatano, Machi 29, 2023 Rais Samia Suluhu Hassan akipokea Taarifa ya Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (TAKUKURU) kwa mwaka 2021/2022 kutoka kwa Mkurugenzi wa Taasisi hiyo CP, Salum Hamduni leo Machi 29, 2023 Ikulu Jijini Dar es salaam. Photo: 1/4 View caption Photo: 2/4 View caption Photo: 3/4 View caption Photo: 4/4 View caption Login to join the discussion Please enable JavaScript to view the comments powered by Disqus.
PRIME Waokota taka hatarini kupata magonjwa haya Hatari hizi zipo katika nyanja za kiafya, kimazingira, na kijamii, na pia kuna changamoto za kisheria na kijamii zinazohusiana na kazi hii.
Leo wa XIV ndiye Papa mpya wa Kanisa Katoliki Kardinali Robert Prevost (69) kutoka Marekani amechaguliwa kuwa Papa mpya wa 267, ambapo amechagua kutumia jina kwenye wadhifa huo la Papa Leo wa XIV.
Bunge lagomea utaratibu ajira JWTZ, Spika Tulia atoa maagizo Tangazo la nafasi za ajira kwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limezua mvutano bungeni ikitajwa kuwa chombo hicho kimekiuka maagizo ya Bunge kwa kuweka kigezo cha waombaji kupitia...