Baadhi ya waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa aliyekuwa mbunge wa kwanza wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Moshi mjini, John Mwanga ambaye amezikwa jana katika makaburi ya familia yaliyopo Kijiji cha Sisamaro, Kibosho, Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro. Picha na Omben Daniel