Wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wakiongoza mapokezi ya chama hicho katika mkoa wa Musoma kwenda katika Uwanja wa Shule ya Msingi Mukendo mjini Musoma Jumapili, Januari 22, 2023.
Photo: 1/4
Photo: 2/4
Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi “Sugu” akihutubia katika mkutano wa hadhara wa Chadema katika Uwanja wa Shule ya Msingi Mukendo mjini Musoma Jumapili, Januari 22, 2023. Picha na Peter Saramba