Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijadiliana jambo na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko wakati bajeti ya Wizara ya Fedha kwa mwaka wa fedha 2025 / 2026 ikiwasilishwa bungeni jijini Dodoma, leo Jumatano Juni 4, 2025. Picha na Edwin Mjwahuzi