Diwani wa Viti Maalumu Halmashauri ya Mji wa Kibaha Mkoa wa Pwani, Lydia Mgaya akisimamia shughuli ya kusafirisha mwili wa mwanafunzi wa darasa la nne Shule ya Msingi Kambarage Kibaha Mkoa wa Pwani, Tatu John nje ya chumba cha kuhifadhia maiti Hospital ya Tumbi. Picha na Sanjito Msafiri