Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, aliyekuwa Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe leo Machi 9, 2025 wamefika kuomboleza msiba wa hayati Profesa Philemon Sarungi aliyefariki dunia Machi 5, 2025 nyumbani kwake Osterbay jijini Dar es Salaam. Picha na Sute Kamwelwe