Picha Kushushwa kwa meli ya Mv Mwanza 'Hapa Kazi Tu' ndani ya maji Jumapili, Februari 12, 2023 Mv Mwanza ikiwa tayari majini ikiwa ni hatua ya kuangalia iwapo kuna itilafu kwenye umbo lake ikiwemo ya kupitisha maji ikiwa majini. Picha na Saada Amir Photo: 1/4 View caption Photo: 2/4 View caption Photo: 3/4 View caption Photo: 4/4 View caption Login to join the discussion Please enable JavaScript to view the comments powered by Disqus.
PRIME RIPOTI MAALUMU: Upishi kando ya barabara bomu linalosubiri kulipuka Wakati wimbi la wachuuzi wanaowasha moto na kupika kwenye hifadhi za barabara likiongezeka, imebainika hali hiyo si hatari tu kwa barabara bali inaweza kuleta madhara kwa miundombinu mingine...
Mwabukusi: Kushirikiana na Serikali sio kulamba asali Katika maadhimisho hayo ambayo Rais Samia Suluhu Hassan ni mgeni rasmi, Mwabukusi amesema kupongeza kwa haki na kushiriki kwa pamoja kutalijenga Taifa kwa kuwahudumia Watanzania.
Wafanyabiashara wa Kariakoo waanza kuchukua fomu za kurejea sokoni Mamia ya wafanyabiashara waliokidhi vigezo vya kurejea soko la Kariakoo wamejitokeza kuchukua fomu kwa ajili ya kuanza tena biashara sokoni hapo, huku baadhi yao wakitaja changamoto ya kutojua...