Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche (kushoto), akifurahia jambo na Ndehorio Ndesamburo (wa tatu kutoka kulia), ambaye ni mjane wa mmoja wa waasisi wa chama hicho na aliyekuwa Mbunge wa Moshi Mjini vipindi vitatu (2000-2015), hayati Phi-lemon Ndesamburo.
Heche pia ameweka shada la maua katika kaburi la Ndesamburo leo Ijumaa Mei 30, 2025 alipotembelea nyumbani kwake mjini Moshi. Picha kwa Hisani ya Chadema.