Bunge limeendelea na vikao vyake ambapo leo Juni 6, 2025 wabunge wamepata nafasi ya kuuliza maswali kwa wizara mbalimbali na kupatiwa majibu yao. Wabunge kupitia kamati ya Bunge ya Bajeti wanaendelea na majidiliano na Serikali wakifanya majumuisho kuzingatia hoja zenye maslahi kwa taifa zilizojitokeza wakati wa bajeti za wizara. Picha na Edwin Mjwahuzi