Picha Bashungwa akagua daraja la Magufuli Alhamisi, Oktoba 12, 2023 Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa akikagua ujenzi wa daraja la Magufuli (Kigongo – Busisi) Photo: 1/5 View caption Photo: 2/5 View caption Photo: 3/5 View caption Photo: 4/5 View caption Photo: 5/5 View caption Login to join the discussion Please enable JavaScript to view the comments powered by Disqus.
PRIME Sintofahamu kupewa uraia wa 'mchongo' wachezaji Singida Wachezaji waliopewa uraia ni Emmanuel Keyekeh, ambaye ni raia wa Ghana, Josephat Bada wa Ivory Coast na Muhamed Camara kutoka Guinea.
Wavuvi 550 wakumbwa na dhoruba Ziwa Rukwa, 10 hawajulikani walipo Ikumbukwe Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) ilitangaza kuwepo na mvua za chini ya wastani hadi juu ya wastani zitakazotarajiwa kuwa na matukio ya hali mbaya ya hewa, kutokana na mabadiliko...
Haya hapa matokeo ya kidato cha nne 2024 Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika kuanzia Novemba 11 hadi 29, 2024.