Picha Aweso akiwasilisha makadirio ya mapato, matumizi bungeni Jumatano, Mei 10, 2023 Waziri wa Maji, Jumaa Aweso akisoma makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara yake kwa mwaka wa fedha 2023/24 Bungeni jijini Dodoma leo. Picha na Merciful Munuo Photo: 1/4 View caption Photo: 2/4 View caption Photo: 3/4 View caption Photo: 4/4 View caption Login to join the discussion Please enable JavaScript to view the comments powered by Disqus.
PRIME Samia: Tunataka amani na utulivu Rais Samia Suluhu Hassan amesema sifa njema kuhusu utulivu na amani iliyopo Tanzania iendelezwe katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.
PRIME Mama asimulia mwanaye aliyeuawa kwa kipigo… “Mama nimepigwa sana… mama nisaidie, sijaleta vitu, nimekuja mama yangu unisaidie, nakufa nisaidie.”
Malima azionya asasi, mashirika ya kiraia kuelekea uchaguzi mkuu Katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima amezitaka taasisi zisizo za kiserikali (NGO) kutoshirikiana na wanaharakati wa kisiasa wenye nia ya kuvuruga...