Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Tanzania yapaa viwango Fifa

Tanzania

Dar. Tanzania imepanda kwa nafasi nane katika viwango vya  ubora vinavyotolewa na Shirikisho la Soka Duniani (Fifa) kutoka nafasi ya 127 waliyokuwepo mwezi uliopita mpaka  nafasi ya 119. Wakati Tanzania ikiwa nafasi ya 119 wapinzani wao katika kusaka tiketi ya kufuzu kwa Kombe la Dunia 2014,  Morocco wenyewe wanakamata nafasi ya 77, na Ivory Coast (13) huku Gambia (144).

Mwezi uliopita pamoja na Taifa Stars kuichapa Cameroon 1-0, bado iliporomoka kwa nafasi tatu na kutoka 124 hadi 127. Nafasi ya juu zaidi iliyowahi kushika  Tanzania kwenye viwango hivyo ni 65 mwaka 1996.