Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Hii hapa orodha kamili waliopenya ubunge, uwakilishi CCM

Dodoma. Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa (NEC) imetangaza majina ya mwisho ya wagombea ubunge na wawakilishi kupitia chama hicho kwa majimbo ya Tanzania Bara na Zanzibar, pamoja na viti maalum kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.

Katika kikao chake kilichofanyika Agosti 23, 2025, NEC imepitisha majina ya wagombea watakaosimama majimboni kote nchini, sambamba na wawakilishi wa viti maalum kwa makundi maalum ya kijamii.

Kwa mujibu wa taarifa ya CCM, uteuzi huo umezingatia mchanganyiko wa uzoefu, uwezo wa kisiasa, na uwakilishi wa makundi mbalimbali ili kuhakikisha chama kinabaki na ushindani katika uchaguzi huo.


Hii hapa orodha kamili ya walioteuliwa mkoa kwa mkoa:


MKOA WA ARUSHA

1. Paul MAKONDA - Arusha Mjini

2. Dk Johannes LUKUMAY - Arumeru Magharibi

3.  Daniel Awack TLEMAH - Karatu

4. Dk Steven KIRUSWA   Longido

5. Joshua NASSARI - Arumeru Mashariki

6. Isack COPRIAO -Monduli

7. Yannick NDOINYO - Ngorongoro

                               

DAR ES SALAAM

  1. Haran Nyakisa SANGA- Kigamboni
  2. Angellah KAIRUKI- Kibamba
  3. Pro Alexander Kitila MKUMBO - Ubungo
  4. Mariam KISANGI - Temeke
  5. Abdallah CHAUREMBO - Chamazi
  6. Kakulu KAKULU - Mbagala
  7. Geofrey TIMOTH - Kawe
  8. Abbas Tarimba - Kinondoni
  9. Mussa Azzan ZUNGU - Ilala
  10. Jerry SILAA- Ukonga
  11. Bonnah KAMOLI - Segerea
  12. Dougras MASABURI - Kivule

               

               

DODOMA

  1. Kenneth NOLLO - Bahi
  2. Deogratius John NDEJEMBI - Chamwino
  3. Livingston LUSINDE - Mvumi
  4. Kunti Yusuph MAJALA - Chemba
  5. Paschal CHINYELE - Dodoma Mjini
  6. Antony MAVUNDE - Mtumba
  7. Ashatu KIJAJI - Kondoa Vijijini
  8. Mariam MZUZURI - Kondoa Mjini
  9. George MALIMA - Mpwapwa
  10. George SIMBACHAWENE- Kibakwe
  11. Isaya Marugumi Kongwa

                               

GEITA

  1. Dotto BITEKO - Bukombe
  2. Jafar SEIF - Busanda
  3. Cornel MAGEMBE - Chato Kaskazini
  4. Pascal LUTANDULA - Chato Kusini
  5. Chacha WAMBURA - Geita Mjini
  6. Musukuma Joseph KASHEKU - Geita
  7. Kija NTEMI - Katoro
  8. Fagasoni NKINGWA - Mbogwe
  9. Hallen AMAR- Nyang’wale

                               

IRINGA

  1. Fadhili NGAJILO - Iringa Mjini
  2. William LUKUVI - Ismani
  3. Jackson KISWAGA - Kalenga
  4. Dk Ritta KABATI Kilolo
  5. Dickson LUTEVELE- Mafinga Mjini
  6. David KIHENZILE- Mufindi Kusini
  7. Exaud KIGAHE - Mufindi Kaskazini

                               

KAGERA

  1. Ezra John CHIWELESA - Biharamulo Magharibi
  2. Johansen MUTABINGWA - Bukoba Mjini
  3. Jasson RWEIKIZA - Bukoba Vijijini
  4. Innocent BASHUNGWA - Karagwe
  5. Khalid NSEKELLA - Kyerwa
  6. Florent KYOMBO - Misenyi
  7. Adonis BITEGEKO - Muleba Kaskazini
  8. Dk Oscar KIKOYO - Muleba Kusini
  9. Dotto BAHEMU - Ngara

                               

KATAVI

  1. Laurent LUSWETULA - Kavuu
  2. Thomas MAGANGA - Katavi
  3. Haidar SUMURY - Mpanda Mjini
  4. Anna LUPEMBE - Nsimbo
  5. Moshi KAKOSO - Tanganyika

                               

KIGOMA

  1. Alan Thomas MVANO - Kakonko
  2. Florance George SAMIZI - Muhambwe
  3. Prof Joyce NDALICHAKO - Kasulu Mjini
  4. Edibily KIMNYOMA - Kasulu Vijijini
  5. Prof Pius YANDA - Buhigwe
  6. Peter SERUKAMBA - Kigoma Kaskazini
  7. Nuru KASHAKARI (KANDAHALI) - Kigoma Kusini
  8. Clayton CHIPONDA (BABA REVO) - Kigoma Mjini

                               

KILIMANJARO

  1. Ibrahim SHAYO - Moshi Mjini
  2. Prof Adolf MKENDA - Rombo
  3. Anne MALECELA - Same Mashariki
  4. Dk Mathayo MATHAYO - Same Magharibi
  5. Morris MAKOI - Moshi Vijijini
  6. Enock KOOLA - Vunjo
  7. Dk Godwin MOLLEL - Siha
  8. Saashisha MAFUWE -Hai
  9. Ngwaru MAGHEMBE - Mwanga



LINDI

  1. Mohamed UTALY - Lindi Mjini
  2. Salma KIKWETE Mchinga
  3. Kinjeketile MWIRU          Kilwa Kaskazini
  4. Hasnain DEWJI- Kilwa Kusini
  5. Mshamu MUNDE - Liwale
  6. Nape NNAUYE - Mtama
  7. Kaspar MMUYA - Ruangwa
  8. Fadhili LIWAKA - Nachingwea 

                               

MANYARA

  1. Emmanuel KHAMBAY - Babati Mjini
  2. Daniel SILLO - Babati Vijijini
  3. Zacharia ISSAAY Mbulu Mjini
  4. Emmanuel NUWAS - Mbulu Vijijini
  5. Asia HALAMGA - Hanang’
  6. James MILLYA - Simanjiro
  7. Edward Ole Lekaita - Kiteto

                               

MARA

  1. Ester BULAYA  - Bunda Mjini
  2. Boniphace GETERE - Bunda Vijijini
  3. Dk Wilson CHARLES - Butiama
  4. Mgore KIGERA - Musoma Mjini
  5. Profesa Mwijarubi MUHONGO - Musoma Vijijini
  6. Jafari CHEGE - Rorya
  7. Mary JOSEPH - Serengeti
  8. Esther MATIKO - Tarime Mjini
  9. Mwita WAITARA - Tarime Vijijini
  10. Kangi LUGORA - Mwibara

                               

MBEYA

  1. Adkin MWALUNENGE - Mbeya Mjini
  2. Patali PATALI - Mbeya Vijijini
  3. Dk Tulia ACKSON - Uyole
  4. Bahati NDINGO - Mbarali
  5. Baraka MWAMENGO - Kyela
  6. Lutengano MWALWIBA - Busokelo
  7. Anton MWANTONA - Rungwe
  8. Masache KASAKA - Lupa


MOROGORO

  1. Abdul Aziz ABOOD - Morogoro Mjini
  2. Hamisi TALE TALE - Morogoro Kusini Mashariki
  3. Zuberi MFAUME - Morogoro Kusini
  4. Ahmed SHABIBY - Gairo
  5. Sarah ALLY - Mvomero
  6. Profesa KABUDI- Kilosa
  7. Dennis LONDO - Mikumi
  8. Salim HASHAM - Ulanga
  9. Mecktrids MDAKU - Malinyi
  10. Abubakar ASENGA - Kilombero
  11. Kellen RWAKATARE - Mlimba

                               

MTWARA

  1. Joel Arthur NANAUKA    Mtwara Mjini
  2. Arif Selemani PREMJI      Mtwara Vijijini
  3. Abdallah Dadi CHIKOTA  Jimbo La Nanyamba
  4. Katani Ahmadi KATANI   Tandahimba
  5. Rashidi Mohamedi MTIMA          Newala Mjini
  6. Yahaya Esmail NAWANDA             Newala Vijijini
  7. Issa Ally MCHUNGAHELA              Lulindi
  8. Leonard Douglas AKWILAPO       Masasi
  9. Faraji Buriani NANDALA Ndanda
  10. Yahya Ally MHATA            Nanyumbu

                               

MWANZA

  1. Kafiti William KAFITI        Morogoro
  2. Bulala Mtesigwa COSMAS            Kwimba
  3. Bujaga Charles MOSES   Sumve
  4. Kiswaga Destery BONIVENTURE Magu
  5. Silvery Luboja SALVATORY            Misungwi
  6. nzilanyingi Francisco JOHN           Nyamagana
  7. Dk Swetbert Zacharia MKAMA   Ukerewe
  8. Tabasamu Hamis MWAGAO        Sengerema
  9. Erick James SHIGONGO Buchosa


NJOMBE

  1. Festo Zacharius SANGA  Makete
  2. Joseph Zacharius KAMONGA       Ludewa
  3. Festo John DUGANGE     Wangingómbe
  4. Daniel Godfey CHONGOLO           Makambako
  5. Edwin Enosy SWALLE      Lupembe
  6. Deodatus Philip MWANYIKA        Njombe Mjini

                               

PWANI

  1. Mohamed Omary MCHENGERWA -Rufiji
  2. Silyvestry Francis KOKA  Kibaha Mjini
  3. Amina Mussa MKUMBA Kibiti
  4. Subira Khamis MGALU    Bagamoyo
  5. Ridhiwani Jakaya KIKWETE           Chalinze
  6. Hamoud Abuu JUMAA   Kibaha Vijijini
  7. Abdallah Hamisi ULEGA Mkuranga
  8. Dk Selemani Said JAFO   Kisarawe
  9. Omari Juma KIPANGA    Mafia

                               

RUKWA

  1. Edifonsi Joackim KANONI             Kalambo
  2. Salum Hamad KAZUKAMWE       Nkasi Kaskazini
  3. Moses Ludovico KAEGELE             Nkasi Kusini
  4. Aeshi Khalfan HILALY       Sumbawanga Mjini
  5. Deus Clement SANGU    Kwela

                               

RUVUMA

  1. Jonas William MBUNDA Mbinga Mjini
  2. Judith Salvio KAPINGA   Mbinga Vijijini
  3. Dk Juma Zuberi HOMERA              Namtumbo
  4. Sikudhani Yassin CHIKAMBO        Tunduru Kaskazini
  5. Fadhil Sandali CHILOMBE              Tunduru Kusini
  6. John John NCHIMBI         Nyasa
  7. Dk Damas Daniel NDUMBARO    Songea Mjini
  8. Omary Marcus MSIGWA               Madaba
  9. Jenista Joakim MHAGAMA           Peramiho

                               

SHINYANGA

Ahmed Ally SALUM         Solwa

Azza Hillal HAMAD           Itwangi

Patrobass Paschal KATAMBI         Shinyanga Mjini

Lucy Thomas MAYENGA Kishapu

Benjamin Lukubha NGAYIWA      Kahama Mjini

Mabula Johnson MAGANGILA    Msalala

Emmanuel Peter CHEREHANI      Ushetu


SIMIYU

  1. Kundo Andrea. MATHEW              Bariadi Mjini
  2. Masanja Kungu KADOGOSA         Bariadi Vijijini
  3. Simon Songe LUSENGEKILE          Busega
  4. Njalu Daudi SILANGA      Itilima
  5. George Venance LUGOMELA       Maswa Mashariki
  6. Mashimba Mashauri NDAKI         Maswa Magharibi
  7. Salum K Khamis SALUM Meatu
  8. Musa Godfrey MBUGA  Kisesa

                               

SINGIDA

  1. Yagi Maulid KIARATU      Singida Mjini
  2. Haiderali Hussein GULAMALI       Ilongero
  3. Jesca David KISHOA         Iramba Mashariki
  4. Dk Mwigulu Lameck NCHEMBA  Iramba Magharibi
  5. Thomas Mgonto KITIMA               Ikungi Mashariki
  6. Elibariki Immanuel KINGU            Ikungi Magharibi
  7. Dk Pius Stephen CHAYA  Manyoni
  8. Yohana Stephen MSITA  Itigi

                               

SONGWE

  1. Japheti Ngailonga HASUNGA       Vwawa
  2. Onesmo.M. MNKONDYA               Mbozi
  3. David Ernest SILINDE      Tunduma
  4. Condester Michael SICHALWE     Momba
  5. Philipo Augustino MULUGO         Songwe
  6. Godfrey KASEKENYA       Ileje

                               

TABORA

  1. Amosy William MAGANGA           Sikonge
  2. Hawa Subira MWAIFUNGA          Tabora Mjini
  3. Joseph Enock TAMA        Kaliua
  4. Japhael Masanja LUFUNGIJA       Ulyankulu
  5. Hussein Mohammed BASHE        Nzega Mjini
  6. John Stephano LUHENDE              Bukene
  7. Neto Paul KAPALATA       Nzega Vijijini
  8. Henry C. KABEHO             Igunga
  9. Abuubakary A. OMARY  Manonga
  10. Shaffin Ahmedal SUMAR               Uyui
  11. Juma Ramadhani MUSTAFA (KAWAMBA)               Igalula
  12. Margaret  SITTA Urambo

                               

MKOA WA TANGA

  1. Kassimu Amari MBARAKA            Tanga
  2. Rashidi Abdallah SHANGAZI         Mlalo
  3. Shemdoe Riziki SILAS      Lushoto
  4. Ramadhani Hamza SINGANO (ENG)          Bumbuli
  5. Hamis MWINJUMA (Mwana FA) Muheza
  6. Twaha Said MWAKIOJA Mkinga
  7. Salehe Mbwana MHANDO           Kilindi
  8. Jumaa Hamidu AWESO   Pangani
  9. Charles Jacob SUNGURA               Handeni Vijijini
  10. Charles Mhando NJAMA               Korogwe Mjini
  11. Timotheo P. MNZAVA     Korogwe Vijijini
  12. Kwagilwa Reuben NHAMALILO   Handeni Mjini


WANACHAMA WA CCM WALIOTEULIWA KWA NAFASI ZA UBUNGE WA VITI MAALUMU MIKOA KWA UPANDE WA TANZANIA BARA

ARUSHA

  1. Marirta Gido KIVUNGE
  2. Chiku Athuman ISSA


DAR ES SALAAM

  1. Janeth Elias MAHAWANGA
  2. Amina Good SAID


 DODOMA

Neema Peter MAJULE

Jesca Yuda MBOGO


GEITA

Regina Henry MIKENZE

Josephine Tabitha CHAGULA


IRINGA

  • Rose Cyprian TWEVE
  • Nancy Hassan NYALUSI


KAGERA

  1. Devotha Daniel MBURARUGABA
  2. Samira Khalfani AMOUR


KATAVI

  1. Martha Festo MARIKI
  2. Taska Restituta MBOGO


KIGOMA

  1. Zainabu Athumani KATIMBA
  2. Naomi Duncan MWAIPOPO


KILIMANJARO

  • Esther Edwin MALLEKO
  • Zuena Athumani BUSHIRI


LINDI

Kijakazi Yunus MOHAMED

Zainabu Rashidi KAWAWA


MANYARA

  1. Regina Ndege QWARAY
  2. Yustina Arcadius RAHHI


MARA

  1. Agness Mathew MARWA
  2. Ghati Zephania CHOMETE


MBEYA

  1. Suma Ikenda FYANDOMO
  2. Maryprisca Winfred MAHUNDI


MOROGORO

  1. Lucy Similya KOMBANI
  2. Sheila Edward LUKUBA


MTWARA

  1. Agness Elias HOKORORO
  2. Asha Salum MOTTO


MWANZA

  1. Mary Francis MASANJA
  2. Kabula Enock SHITOBELA


NJOMBE

  1. Pindi Hazara CHANA
  2. Rebecca Sanga NSEMWA


PWANI

  1. Hawa Mchafu CHAKOMA
  2. Mariam Abdallah IBRAHIM


RUKWA

Sylivia Francis SIGULA

Jacqueline Chrisant MZINDAKAYA


RUVUMA

  1. Jacqueline Ngonyani MSONGOZI
  2. Mariam Madalu NYOKA


SHINYANGA

  1. Santiel Erick KIRUMBA
  2. Christina Christopher MNZAVA


SIMIYU

  1. Tinnar Andrew CHENGE
  2. Ester Lukago MDIMU


SINGIDA

  1. Marth Nehemia GWAU
  2. Aysharose Ndogholi MATTEMBE


SONGWE

Juliana SHONZA

Neema C. MWANDABILA


TABORA

  1. Aziza Slyeum ALLY
  2. Christina Solomon MNDEME


TANGA

  1. Husna Juma SEKIBOKO
  2. Mwanaisha Ng’anzi ULE


WANACHAMA WA CCM WALIOTEULIWA KWA NAFASI ZA UBUNGE WA VITI MAALUMU MAKUNDI KWA UPANDE WA TANZANIA BARA


KUNDI LA NGO’S

  1. Magreth Baraka EZEKIEL
  2. Rahma Riadh KISUO


KUNDI LA WANAWAKE WA VYUO VIKUU

  1. Selina Henry KINGALAME
  2. Asha Juma FERUZI
  3. Dk Regina Christopher MALIMA


KUNDI LA WAFANYAKAZI

  1. Halima Iddi NASSOR
  2. Mariam Anzuruni MUNGULA


KUNDI LA WANAWAKE WENYE ULEMAVU

  1. Ummy Hamisi NDERIANANGA
  2. Stela Ikupa ALEX
  3. Aisha Msantu MDUYAH


KUNDI LA VIJANA

  1. Ng’wasi Damas KAMANI
  2. Jesca John MAGUFULI
  3. Halima Abdallah BULEMBO
  4. Lulu Guyo MWACHA
  5. Timida Mpoki FYANDOMO
  6. Jasmin Chesco NG’UMBI


KUNDI LA WAZAZI

  1. Dk Catherine Canute JOAKIM



WAGOMBEA WALIOTEULIWA KWA NAFASI YA UJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI

  1. MKOA WA KASKAZINI PEMBA


  1. WILAYA YA WETE


  1. Jimbo la Wete                

 Harusi Said SULEIMAN

  1. Jimbo la Gando              

 Maryam Thani JUMA

  1. Jimbo la Mtambwe         

 Maryam Ali RASHID

  1. Jimbo la Pandani

 Mkubwa Ali SULEIMAN

  1. Jimbo la Kojani

 Shaame Ali ALI


  1. WILAYA YA MICHEWENI


  1. Jimbo la Micheweni

Dk Hamad Omar BAKAR

  1. Jimbo la Tumbe

Salma Khamis TUMU

  1. Jimbo la Konde

Zawadi Amour NASSOR

  1.  Jimbo la wingwi

Yunus mbarouk KOMBO










WAGOMBEA WALIOTEULIWA KWA NAFASI YA UJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI

  1. MKOA WA KASKAZINI UNGUJA


  1. WILAYA YA KASKAZINI “A”


  1. Jimbo la Chaani

Juma Usonge HAMAD

  1. Jimbo la Kijini

Badria Atai MASOUD

  1. Jimbo la Mkwajuni

Sulubu Kidongo AMOUR

  1. Jimbo la Tumbatu

Mahmoud Omar HAMAD

  1. Jombo la Nungwi

Dkt. Salum Soud HAMAD


  1. WILAYA YA KASKAZINI “B”


  1. Jimbo la Bumbwini

Yussuf Ali HASSAN

  1. Jimbo la Donge

Dk Khalid Salum MOHAMMED

  1. Jimbo la Mahonda

Mboja Ramadhan MSHENGA











WAGOMBEA WALIOTEULIWA KWA NAFASI YA UJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI


  1. MKOA WA KUSINI PEMBA


  1. WILAYA YA CHAKE CHAKE


  1. Jimbo la Chakechake

Abdulwahab Said ABUBAKAR

  1. Jimbo la Chonga

Suleiman Masoud MAKAME

  1. Jimbo la Ole

Amour Abdalla KASSIM

  1. Jimbo la wawi

Bakar Hamad BAKARI

  1. Jimbo la Ziwani

Suleiman Makame ALI


  1. WILAYA YA MKOANI


  1. Jimbo la Chambani

Bahati Khamis KOMBO

  1. Jimbo la Kiwani

Hemed Suleiman ABDULLAH

  1. Jimbo la Mkoani

Khamis Mohamed AMRANI (Kijazi)

  1. Jimbo la Mtambile

Ali Suleiman JUMA


WAGOMBEA WALIOTEULIWA KWA NAFASI YA UJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI


  1. MKOA WA KUSINI UNGUJA


  1. WILAYA YA KATI


  1. Jimbo la Chwaka

Issa Haji USSI (Gavu)

  1. Jimbo la Tunguu

Simai Mohammed SAID

  1. Jimbo la Uzini

Said Azani HASSAN (Msingiri)


  1. WILAYA YA KUSINI


  1. Jimbo la Makunduchi

Dkt. Mwalimu Haroun Ali SULEIMAN

  1. Jimbo la Paje

Jaku Hashim AYOUB














WAGOMBEA WALIOTEULIWA KWA NAFASI YA UJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI


  1. MKOA WA MAGHARIBI


  1. WILAYA YA DIMANI


  1. Jimbo la Dimani

Mwanaasha Khamis JUMA

  1. Jimbo la Fuoni

Juma Hassan THABIT (Kaponda)

  1. Jimbo la K/Samaki

Abdulla Kambotwe ABDULLA

  1. Jimbo la M/Kwerekwe

Mohammed Manzi HAJI

  1. Jimbo la Pangawe

Ali Suleiman AMEIR (Mrembo)


  1. WILAYA YA MFENESINI


  1. Jimbo la Bububu

Mudrik Ramadhan SULEIMAN (Sorga)

  1. Jimbo la Mfenesini

Machano Othman SAID

  1. Jimbo la Mwera

Mihayo Juma SULEIMAN (Nhunga)

  1. JIMBO LA MTONI

Hussein Ibrahim MAKUNGU (Bhaa)

  1. Jimbo la Welezo

Hassan Khamis HAFIDH (Diasphora)








WAGOMBEA WALIOTEULIWA KWA NAFASI YA UJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI


  1. MKOA WA MJINI


  1. WILAYA YA AMANI


  1. Jimbo la Amani

Masoud Amour MASOUD

  1. JIMBO LA CHUMBUNI

Makame Mohamed SUFIANI

  1. Jimbo la Magomeni

Mahfoudh Abdallah MOHAMMED

  1. Jimbo la Mpendae

Shaabani Ali OTHMAN

  1. Jimbo la Shaurimoyo

Hamza Hassan JUMA


  1. WILAYA YA MJINI


  1. Jimbo la Jang’ombe

Ali Abdulghulam HUSSEIN

  1. Jimbo la Kikwajuni

Seif Kombo PANDU

  1. Jimbo la Kwahani

Mohammed Sijanini MOHAMMED

  1. Jimbo la Malindi

Abdulghan Ismail ZUBEIR