Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Watuhumiwa mauaji ya mtoto Grayson wafikishwa mahakamani Dodoma

Watuhumiwa wawili wanaokabiliwa na kesi ya mauaji ya mtoto wa Graison Kanyenye (6) wakifikishwa mahakamani jijini Dodoma Jumatatu, Desemba 30,2024. Picha na Hamis Mniha

Dodoma. Watuhumiwa wawili wanaokabiliwa na kesi ya mauaji ya mtoto wa Grayson Kanyenye (6) wamefikishwa mahakamani jijini Dodoma leo Jumatatu, Desemba 30,2024.

Mpaka sasa bado haijajulikana kesi hiyo itasomwa katika mahakama gani.

Watuhumiwa wawili wanaokabiliwa na kesi ya mauaji ya mtoto wa Graison Kanyenye (6) wakifikishwa mahakamani jijini Dodoma leo Jumatatu, Desemba 30,2024. Picha na Hamis Mniha

Grayson, mtoto wa mfanyabiashara maarufu jijini hapa, Zainab Zengo maarufu ‘Jojo’ anadaiwa kuuawa kwa kupigwa na kitu kizito kichwani wakati mama yake akiwa matembezini usiku wa kuamkia Desemba 25, 2024.

Endelea kufuatilia Mwananchi kwa taarifa zaidi