Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Siri ya mama na mwanaye waliofia gesti Moshi

Siri ya mama na mwanaye waliofia gesti Moshi

Muktasari:

  • Lyimo (21) na mwanaye Caren, mwenye umri wa miaka miwili wamekutwa wamekufa katika moja ya nyumba za kulala wageni Wilayani Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro.

Moshi. Irene Lyimo (21) na mwanaye Caren, mwenye umri wa miaka miwili wamekutwa wamekufa katika moja ya nyumba za kulala wageni Wilayani Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro.

Wawili hao walikuwa wakazi wa kata ya Kilema Kaskazini na miili yao ilikutwa kwenye nyumba hiyo ikiwa imeharibika na kuanza kutoa harufu.Akizungumza na gazeti hili, Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Ronald Makona alithibitisha kutokea kwa tukio hilo, akibainisha kuwa mwanamke huyo aliingia kwenye nyumba hiyo akiambatana na kijana mmoja ambaye jina lake halijafahamika.

“Tumepata taarifa ya tukio hili la kushangaza na la ajabu jana, kuna kijana aliingia naye gesti baadaye akatoweka, tunaendelea kufuatilia,” alisema Kamanda Makona.

Habari kamili jipatie nakala yako ya Mwananchi leo.