Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Sabaya atinga mahakamani akiwa na bandeji kichwani

Muktasari:

  •  Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne wamefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi Moshi huku akiwa amefungwa bandeji kichwani.


Moshi. Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne wamefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi Moshi huku akiwa amefungwa bandeji kichwani.

Sabaya na wenzake wanakabiliwa na mashitaka saba likiwamo kosa la uhujumu uchumi, kuongoza genge la uhalifu, pamoja na kujihusisha na vitendo vya rushwa.

Kesi hiyo awali ilikuwa inasikilizwa na Hakimu Mfawidhi Mkazi, Salome Mshasha.