Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Niffer, wenzake 21 wasomewa mashtaka likiwamo la uhaini

Dar es Salaam. Mfanyabiashara Jenifer Jovin (26) maarufu Niffer na wenzake 21 amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa kesi uhaini.

Niffer na wenzake hao wamefikishwa Mahakamani hapo leo mchana, Ijumaa Novemba 7, 2025 na kusomewa mashtaka matatu, ambayo ni kula njama ya kutenda kosa la kuharibu miundombinu na mawili ni ya uhaini.

Washtakiwa hao wamesomewa  mashtaka yao na Wakili wa Serikali Mwandamizi, Clemence Kato mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Aaron Lyamuya.

Kwa sasa upande wa mashtaka wanaendelea kuwasomea mashtaka hayo.


Endelea kufuatilia mitandao ya Mwananchi.