Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Mbowe: Maandamano yatakuwepo kesho kama tulivyopanga

Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe amesema maandamano waliyopanga kufanya kesho Septemba 23, 2024 yatakuwepo kama ilivyopangwa huku akisisitiza kuwa yatakuwa ya amani na maombolezo ya viongozi wao waliotoweka na kuuawa.

Mbowe ameyasema hayo leo Jumapili Septemba 22, 2024 akizungumza na wanachama wa chama hicho kupitia mdahalo uliofanyika kwenye mtandao wa X (X Space).

Aidha Mbowe amedai kuwa wametoa taarifa Polisi ya kufanyika maandamano hata hivyo hawajajibiwa.

Endelea kufuatilia mitandao yetu kwa taarifa zaidi