Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

LIVE: Tazama kimbunga Hidaya kinavyoikaribia Tanzania

Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) leo Ijumaa, Mei 3, 2024 imetoa taarifa ya kuimarika na kuendelea kusogea kwa Kimbunga Hidaya katika pwani ya Bahari ya Hindi huku kasi ya upepo ikiongezeka hadi kufikia kilomita 130 kwa saa.

Kupitia tovuti ya Zoom Earth, Mwananchi Digital imewekea ‘link’ ya kutazama mubashara kimbunga hicho.


Endelea kutembelea tovuti yetu na mitandao ya kijamii kwa taarifa zaidi