Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Ajali yaua Mwandishi wa habari Iringa


Muktasari:

  • Mwandishi wa habari mwandamizi wa Kituo cha Televisheni cha Iringa (IMTV)  Rashid Msigwa (38) amefariki dunia baada ya kupata ajali ya gari katika barabara kuu ya Tanzania-Zambia eneo la Ipogolo Manispaa ya Iringa.

Iringa. Mwandishi wa habari mwandamizi wa Kituo cha Televisheni cha Iringa (IMTV), Rashid Msigwa (38) amefariki dunia baada ya kupata ajali ya gari katika barabara kuu ya Tanzania-Zambia eneo la Ipogolo Manispaa ya Iringa.

Akizungumza na waandishi wa habari jana Jumatano Aprili 19, 2023 Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa ACP, Allan Bukumbi amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo usiku wa kuamkia jana.

Bukumbi amesema ajali hiyo ilihusisha gari aina ya Subaru Impreza iliyokuwa ikitokea Kitwiru kuelekea Ipogolo Manispaa ya Iringa iliyogonga pikipiki kisha kuhama njia na kwenda kugonga mti.

Habari zaidi endelea kusoma mitandao yetu