Wafanyabiashara waingia hofu ya kupoteza mizigo Kariakoo
Dar es Salaam. Baadhi ya wafanyabiashara wenye mizigo iliyokuwa kwenye ghorofa lililoporomoka Mtaa wa Mchikichi na Congo, Kariakoo wameingia hofu ya kupoteza mali zao. Hata hivyo, Katibu Tawala...