Matukio yaliyoutia doa Mkoa wa Dar es Salaam 2024 Wakati zikiwa zimebaki siku chache kabla ya kuufunga mwaka 2024 na kuukaribisha mwaka mpya 2025, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ametaja baadhi ya matukio yaliyoutia doa mkoa huo,...
Wataalamu dawa za usingizi, ganzi kuanza kusajiliwa Baraza la Uuguzi na Ukunga nchini limeanzisha utaratibu wa kusajili wataalamu wa dawa za usingizi na ganzi, lengo likiwa kuwafahamu na kuwawezesha kutoa huduma bora kwa jamii.
Hivi ndivyo unavyoweza kuomba ulinzi binafsi wa Polisi Kufuatia madai ya kutishiwa uhai wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, baadhi ya wanasheria wametoa mwongozo wa kuomba ulinzi wa Jeshi la Polisi kwa mtu binafsi mwenye tishio kama hilo.
Lissu aanza kuvaa ‘bulletproof’ kujilinda na risasi Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amesema ameanza kuvaa mavazi ya kujikinga na risasi (bulletproof) ili kulinda usalama wake kutokana na tishio la usalama wake, akidai polisi...
Mapya bwana harusi aliyepotea na kupatikana Pemba Vincent alitoweka Novemba 18, siku moja baada ya kufunga ndoa jijini Dar es Salaam.
PRIME VIDEO: Lissu adai kuwasilisha majina ya waliopenyezewa fedha za uchaguzi Chadema Makamu Mwenyekiti wa Chadema-Bara, Tundu Lissu amesema ameshapeleka ushahidi kuhusu madai ya rushwa ndani ya chama hicho kwenye vikao halali, hivyo anatarajia utekelezaji.
Sababu waliohitimu la saba wote kujiunga sekondari Serikali imetangaza wanafunzi wote 974,332 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza baadaye mwakani, huku ikibainisha kwamba wataanza masomo bila kusubiri machaguo kama ilivyokuwa ikifanyika...
Wenye ulemavu wataka pensheni, ajira na mikopo Kutolewa kwa pensheni za kila mwezi, afya bure kuanzia ngazi ya msingi, ajira, mikopo na elimu jumuishi ni miongoni mwa vitu vilivyotawala katika ukusanyaji wa maoni rasimu ya Dira ya Taifa ya...
PRIME VIDEO: Siri maisha ya waumini wa Mwamposa Wakati baadhi ya wakazi wa Kawe wakitumia fursa ya uwepo wa Kanisa la Inuka Uangaze la Nabii na Mtume Boniface Mwamposa, imebainika wapo waumini wanaotoka mikoani wakikabiliwa na adha ya malazi...
Changamoto, fursa za demokrasia kujadiliwa kumbukizi ya Maalim Seif Hii ni mara ya nne maadhimisho hayo yanafanyika, tangu kufariki kwa Maalim Seif aliyewahi mwenyekiti wa ACT- Wazalendo na mshauri wa chama hicho kikuu cha upinzani Zanzibar.