Mwenyekiti Chadema Katavi asema ni zamu ya Lissu, Mbowe apumzike
Mwenyekiti wa Chadema, Mkoa wa Katavi, Rhoda Kunchela amesema uadilifu, uwazi na misimamo ya kupinga vitendo vya rushwa ni sababu inayomsukuma kumuunga mkono, Tundu Lissu kuwania uenyekiti wa...