Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi iliyofanyika Agosti, akisema kuwa idadi ya watanzania ni milioni 61.74.