PRIME Huyu ndiye fundi nguo aliyeshona vazi la Papa Leo XIV Mavazi hayo matatu meupe (kanzu) yakiendana na mengine ya hariri na dhahabu, yalikuwa tayari wakati moshi mweupe ulipotoa ishara kwamba mrithi wa Papa Francis aliyefariki dunia Aprili 21, 2025...
PRIME Bado Chadema hakujapoa, makada wengine wajivua uanachama Ni maji na mafuta kwa sababu kuna uwiano wa ushawishi na nguvu ya kisiasa waliyonayo kati ya wale wanaotangaza kukihama chama hicho na wale wanaendelea kusalia.
PRIME Zijue amri 10 za kuwa tajiri Amri hizi si tu kuhusu kujikusanyia utajiri, bali kujenga uhusiano mzuri na fedha, kuhakikisha usalama wa kifedha, na kuacha urithi kwa vizazi vijavyo.