PRIME Mazito wanayopitia bodaboda ‘popo’ Bodaboda wanaokesha kazini ‘popo’ ni sehemu muhimu ya mfumo wa usafiri nchini Tanzania, wakihudumia watu wanaosafiri nyakati mbalimbali ikiwamo usiku kwa sababu mbalimbali.
PRIME Urembo wa Mateso: Maumivu ya nguo za kubana kwa wanawake Katika sherehe nyingi siku hizi, ni nadra kukutana na wanawake walioacha maumbo yao ya asili yaonekane bila marekebisho.
PRIME Mrema aihoji Chadema maswali matano kupigwa kigogo wa Bawacha Sigrada anadaiwa kupigwa Machi 25, 2025 na mmoja wa walinzi wa Chadema kwenye kikao cha ndani kilichoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Bara, John Heche.