PRIME Nafuu kwa bajaj, magari yanayotumia gesi Dar Ujenzi wa kituo kimoja cha kujaza gesi inagharimu kati ya Sh2.1 bilioni hadi Sh2.7 bilioni kulingana na ukubwa na mahitaji ya eneo.
PRIME Sakata la Master Jay, Alikiba liko hivi Mtayarishaji wa muziki nchini Joachim Marunda 'Master Jay' amesema ubanaji pua siyo tusi ni neno lililoanza kutumiwa na wasanii wa Hip-hop tangu mwaka 2000.
Wawili akiwamo mwanahabari wafariki dunia kwa ajali Taarifa hiyo imewataja waliofariki dunia ni Fabian Lupenu na Juma Kasian.