Video Ali Kamwe afichua maujanja ya baba yake kubembeleza ajiunge Simba SC, akamkataa Ijumaa, Februari 21, 2025
Rais TEC: Serikali ikae na wadau wa uchaguzi, waliokamatwa waachiwe Askofu wa Jimbo Katoliki la Lindi, Wolfgang Pisa, amesema ni muhimu Serikali kukaa na wadau wa uchaguzi, kuruhusu mabadiliko ya lazima kabla ya uchaguzi mkuu wa baadaye mwaka huu.
PRIME Huyu ndiye Hashim Lundenga ‘Anko’ aliyeamini katika sanaa Tanzania imeingia kwenye majonzi mazito kufuatia kifo cha gwiji katika sekta ya burudani, sanaa na michezo, Hashim Lundenga.
Hashim Lundenga afariki dunia Mratibu wa zamani wa mashindano ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga amefariki dunia leo Jumamosi Apili 19, 2025 katika Hospitali ya Itengule iliyopo Tegeta jijini Dar es Salaam.