Miili ya waliofariki katika ziara ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi (CCM) Taifa, Fadhil Rajabu ikiwa tayari kwa ajili ya kuagwa.
Katika ajali hiyo iliyotokea Februari 25, watu wanne walifariki dunia huku wengine walijeruhiwa kwenye ajali iliyohusisha gari la serikali STM na basi kampuni ya CRN katika eneo la Shamwengo wilayani Mbeya.