Picha Ubalozi wa Tanzania Comoro, WHO wazungumza Jumatano, Machi 05, 2025 Balozi wa Tanzania nchini Comoro, Saidi Yakubu amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi Mkazi wa Shirika Afya Duniani (WHO) Mwenye Makazi yake nchini humo, Dk Triphonie Nkurunzinza. Photo: 1/4 View caption Photo: 2/4 View caption Photo: 3/4 View caption Photo: 4/4 View caption Login to join the discussion Please enable JavaScript to view the comments powered by Disqus.
PRIME Gambo, Mchengerwa hapatoshi bungeni Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson ameagiza kamati ianze kufuatilia kuanzia leo Jumatano, Aprili 23, 2025 hadi wiki ijayo taarifa itolewe ndani ya Bunge.
Polisi yakana kumshikilia Heche, Chadema wamsaka Kulingana na Golugwa wakati anakamatwa maeneo ya Mkunguni, alipakizwa kwenye gari lakini walipokaribia maeneo ya Polisi Central walimbadilisha na kumpandisha kwenye gari lingine.
Alipwa mapunjo ya nauli ya Sh500,000 aliyosotea kwa miaka 31 Askari mstaafu wa Jeshi la magereza, Christina Mjema (90) amepatiwa malipo yake ya nauli ya mizigo Sh500,000 ya kutoka gereza la Babati mkoani Manyara hadi nyumbani kwao Wilaya ya Same mkoani...