Picha OCD Chico aliyefariki ajalini alivyoagwa Dar Jumanne, Machi 18, 2025 Mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Polisi Wilaya ya Kipolisi Chanika jijini Dar es Salaam, SP Awadh Chico umeagwa leo Machi 18, 2025 na askari wenzake pamoja na ndugu jijini Dar es Salaam. Photo: 1/5 View caption Photo: 2/5 View caption Photo: 3/5 View caption Photo: 4/5 View caption Photo: 5/5 View caption Login to join the discussion Please enable JavaScript to view the comments powered by Disqus.
PRIME Tamaa zinavyoponza mabinti vyuoni Tamaa ya kupata vitu vya gharama na maisha mazuri, nayo ni mojawapo ya sababu inayofanywa wanafunzi wa vyuo kujiingiza kwenye mambo yasiyofaa.
PRIME Serikali ilivyojibu hoja za Lissu kupinga kesi yake kusikilizwa mtandaoni Serikali imejibu hoja za mawakili wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu, kupinga kesi inayomkabili ya kuchapisha taarifa za uongo katika mtandao wa Youtube...
Polisi watanda Kisutu, waandishi wa habari wazuiwa Katika eneo hilo la Mahakama, polisi waliovaa sare na wasio na sare wapo ndani ya magari wakifanya doria huku wakiwa wameshikilia silaha mbalimbali zikiwamo bunduki na virungu.