Baadhi ya wananchi wa Bukoba wakiwa wakikusanyika huku waokoaji wakiwatafuta manusura baada ya ndege ya Precision Air iliyokuwa imebeba watu 43 kutumbukia katika Ziwa Victoria ilipokuwa ikijaribu kutua katika katika Uwanja wa Ndege wa Bukoba, Jumapili Novemba 6, 2022.