Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamaganda Kabudi, akimkabidha moja ya vitendea kazi Mwenyekiti wa Bodi ya Ithibati ya waandishi wa habari, Tirdo Mhando wakati wa hafla ya uzinduzi wa bodi hiyo leo Machi 3, 2025.
Photo: 1/4
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamaganda Kabudi akizungumza katika hafla ua uzinduzi Bodi ya Ithibati ya waandishi wa habari leo Machi 3, 2025.
Photo: 2/4
Photo: 3/4
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamaganda Kabudi, akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Bodi ya Ithibati.