Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

VIDEO: Profesa Lipumba asema hana tatizo na Maalim Seif

Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba akizungumza na wahariri na waandishi wa kampuni ya Mwananchi Communications Limited alipoitembelea kampuni hiyo, jijini Dar es Salaam leo. Picha na Edwin Mjwahuzi

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha CUF, Profesa Ibrahim Lipumba ameeleza kuwa hana tatizo lolote na aliyekuwa katibu mkuu wa chama hicho, Maalim Seif.


Profesa Lipumba ameeleza kushangazwa kwake na kile anayoiita chuki ya wazi inayoonyeshwa na kwake na Maalim.
“Mimi namtakia heri huko alikokwenda ila sioni kwamba mawazo yake na kiongozi wa chama alichokwenda kama yanaendana,”
“Binafsi sina tatizo naye namstaajabu amejenga chuki na mimi na katika siasa ukijenga chuki namna hiyo huwezi kufanikiwa. Alijenga chuki na Mapalala, amejenga chuki na mimi na huwezi jua uchaguzi ukiisha anaweza kujenga chuki kwa Zitto,”


Kuhusu kuondoka kwa Maalim na wanachama wengine Profesa Lipumba amekiri kuwa iliwapa athari lakini hata hivyo chama hicho kina watu imara walioziba nafasi zilizoachwa wazi.