Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Ubungo yatoa msaada hospitali ya Sinza Palestina

Meya wa Ubungo, Boniface Jacob

Muktasari:

Msaada wenye thamani ya zaidi ya Sh2 milioni umetolewa leo asubuhi na Meya wa Ubungo, Boniface Jacob akiambatana na maofisa wa wilaya hiyo.

Dar es Salaam. Halmashuri mpya ya Ubungo imetoa msaada wa vitu  mbalimbali zikiwamo khanga na sabuni katika hospitali ya wilaya ya hiyo Sinza Palestina ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha  wanawake duniani.

Msaada wenye thamani ya zaidi ya Sh2 milioni umetolewa leo asubuhi na Meya wa Ubungo, Boniface Jacob akiambatana na maofisa wa wilaya hiyo.

Jacob amesema msaada huo ni jitahada mbalimbali za kuunga mkono siku wanawake kwa ni watu muhimu wa kuendesha gurudumu la maendeleo na kwamba halmashauri hiyo ipo katika kuboresha hospitali ya hiyo iwe ya kisasa.

Mmoja wa kinamama Ester William aliishukuru manispaa hiyo kwa kuwajali ikiwamo kuboresha huduma za afya katika hospitali hiyo na Mungu awabariki.