Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Serikali kufufua kiwanda cha General Tyre

Arusha. Kiwanda cha kutengeneza matairi cha General Tyre mkoani Arusha kinatarajiwa kufufuliwa hivi karibuni.

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Felix Ntibenda amesema jana kuwa lengo la Serikali ni kukuza uchumi kwa vijana.

Ntibenda alisema wakati akihutubia katika maadhimisho ya siku ya wafanyakazi  duniani yaliyofanyika kwenye  Viwanja vya Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha.

 Alisema hadi sasa Serikali inamiliki hisa kwa asilimia 100 katika kiwanda hicho na muda wowote kitaanza uzalishaji.